[emoji23][emoji23][emoji23], halafu kina nyinyi mnayo sana[emoji23]View attachment 802739
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kina nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], halafu kina nyinyi mnayo sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]View attachment 802739
Kina nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kina nani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kuiombea, maana machafu yanawapendeza sana watu wa sasa kuliko yaliyo memaDunia imechafuka kwakweli
Si kwenu tu hata kwetu pia.
Ndo lililo la muhimu...Lakini hata ukimuombea asiye tayari kubadilika ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.Tuendelee kuiombea, maana machafu yanawapendeza sana watu wa sasa kuliko yaliyo mema
Wanarudi waangalie WC kwenye luninga
AminMungu atupe usiku mwema kwetu wooote
AminMungu atupe afya na uzima
Siasa za kujikomba na kujipendekeza hazijawahi kumuacha mtu salamaIlikuwa aseme hivyo...angesemaje pale???
[emoji55][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasema??Kina nyinyi
Hapana tusichoke, maombi yetu ndiyo yatakayotuweka salama mbele ya Mungu. Na hiyo haijalishi kama watabadirika au laaNdo lililo la muhimu...Lakini hata ukimuombea asiye tayari kubadilika ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Hujambo bibie ledada[emoji55][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasema?? View attachment 802741