Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ikiwa mtu atathibitika ni mgonjwa, jamii inayomzunguka (muuguzaji) inapaswa kufanya yafuatayo ili kufanikisha uponyaji:

1. Kumsikiliza mgonjwa.

Si wagonjwa wote hupenda kuongea, ikiwa yupo, anapaswa kusikilizwa kwa makini na upendo. Ikiwa mgonjwa hapendi kuongea, yapaswa ajengewe mazingira ya upole na utulivu wa akili ili aongee kwa uwazi
 
2. Kuongea juu ya ugonjwa.

Wakati muafaka ukifika, mazungumzo juu ya ugonjwa yanapaswa kufanyika. Mazungungumzo yanaweza kuhusu ukubwa wa ugonjwa katika jamii husika, dalili na matibabu. Mgonjwa anahitaji taarifa sahihi juu ya ugonjwa ili kujiandaa kiakili juu ya hatua zinazofuata. Pindi mgonjwa anapoomba maoni kutoka kwa mlezi, muuguzaji atumie busara ili kutomkwaza mgonjwa.
 
3. Kutodharau.

Ni kawaida kwa wagonjwa kulalamika, hata wengine kumlaumu daktari au Mungu. Katika hali hii, mgonjwa asijibu au kutoa ishara za dharau au kebehi. Muuguzaji ajitahidi kujua sababu za majibu au hisia za mgonjwa, huku akimfariji.
 
Mungu Anapotaka kukutoa mahali ulipo kwenda kwingine ni lazima akutoe kutoka kwenye comfort zone yako. Na mara nyingi hii ni very uncomfortable. Shida, vipingamizi na kupigwa vita kila kona. Kumbe katika magumu haya ndimo mna upigaji hatua kwenda unakotakiwa kwenda. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120], kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…