Sawa mkuu...unahusika na viwanja kumbeMwambie anitafute
NakaziaKamwe usijaribu kufurahisha watu
Good morningMorning consuela
AmenBwana Mungu nashangaa kabisa,
Nikifikiri jinsi ulivyo,
Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
Viumbavyo kwa uwezo wako.
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu,
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu.
[emoji816]Blessed day y'all[emoji816][emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120]Bwana Mungu nashangaa kabisa,
Nikifikiri jinsi ulivyo,
Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
Viumbavyo kwa uwezo wako.
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu,
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu.
[emoji816]Blessed day y'all[emoji816][emoji120]
[emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23], si unamuelekeza tu, siku nyingine hawezi kurudia kosa..Badala ya kukuletea mnofu anakuwekea mezani pande la mkaa, pumbaf sana. Talaka inamuhusu
Pamoja sanaNipo pyaar sijapotea
Hahahahaha! Nipe hiyo zawadi kama ulidhamiria kweli.hahahaha mimi nilitaka kubet na pyaar lakini akaingia mitini matokeo yake kakosa zawadi
Anilalie mie tena!!!...Siku hizi ni vipi umekuwa Liva.Yaani pyaar huyu akikulalia kifuani unachomwachomwa na konzi hizo full mzuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi haya majibu umesomea wapi
Kweli kabisa bhuda yuko sahihi