mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Na si utakavyoIshi upendavyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuambia weka mzigo unaona sasa umekosa kitu kizuri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona hukuniambia?Nitakuambia
G'morning MkuuNaona umefurahi sana Morning pyaar
Nina wadau wengi wanavyo wanauza mimi nilijitoa kidogo kwenye hii biashara lakini kama wewe naweza kukuuzia vya kwangu ninavyo vya kutosha nilisimama kuuza nasubiri bei ipande kidogoSawa mkuu...unahusika na viwanja kumbe
Amina na ubarikiwe sanaBwana Mungu nashangaa kabisa,
Nikifikiri jinsi ulivyo,
Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
Viumbavyo kwa uwezo wako.
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu,
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu.
[emoji816]Blessed day y'all[emoji816][emoji120]
Leo nani anaaga WC tabiri mapema kabisaHahahahaha! Nipe hiyo zawadi kama ulidhamiria kweli.
Du hatari sana
Yaani mimi akinilalia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umevisevesa commentAnilalie mie tena!!!...Siku hizi ni vipi umekuwa Liva.
England na russiaLeo nani anaaga WC tabiri mapema kabisa