[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bila shaka nae yamepona...hizo waaaoh sio za bure.
Yaan maumivu mara mbili ya kufungwa na kuchaniwa mkekaHahahahaha!! Mkeka chanuuu, hata kipindi kile cha Liverpool baada ya kufungwa akapotea mazima.[emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23], maumivu ni zaidi ya kuunguzwa na [emoji91][emoji91]Yaan maumivu mara mbili ya kufungwa na kuchaniwa mkeka