Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]Maria mwombezi sisi wanawako katika shida zetu tuwie ngao yetu , maria, twakuomba sana tupe neema zako tuyashinde magumu tufike kwa mwanao[emoji445][emoji445][emoji445]
 
[emoji445][emoji445][emoji445]Umsihi mwanao yesu maria asamehe makosa yangu anitoe mashaka yote maria yaliyomo moyoni mwngu, maria maria unisaidie mimi mwanao mwenye dhambi[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Mbaaaali kuuleee naaaasikiaa,
Maaalaikaa waaa Mbiiiinguniiiii,
Wakiimba weeeeengi pia,
Wiiimbo huoo juu aaaaanganiiii....

Glooooooo oooooooh ooooooooh ooooooooriaaaaaa
In excelsis deeeeeooooooo ooooooooo
Oooooooo oooooooooh oooooooh oooooooooriaaaaaaa
In exelsis Deeeeeoooooooo

Wachunga tuuuaaambieni
Sababu ya wiiiimboooo huooooo
Mwenye kwimbiwaaaaa ni naaani,
Juuu ya nani siiiifaaa hizooooo[emoji445][emoji445][emoji445]
 
[emoji445][emoji445][emoji445]Malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilayaaaaa......
Jina lake Nazaretiiiii.....
Kwa mwanamwali bikira (kwa mwanamwali bikira) Kwa mwanamwali bikiraaaaa.....
Aliyekuwa ameposwa na Yusufu (na Yusufu), wa ukoo wa Daudiiiii.....
Jina lake bikira huyo alikuwa Mariamuuuuuu....[emoji445][emoji445][emoji445]
 
[emoji445][emoji445][emoji445]Mungu wangu mbona umeniacha (mimi) katika taabu zote hiziiiiii
maisha yangu ni ya mashaka (kwani) sina raha nimekosa amani.......[emoji445][emoji445][emoji445]
 
[emoji445][emoji445][emoji445]/Ewe Mama wa Mwokozi, tusikie wanao, tunaotoa machozi, kuomba hurumayo, uwe wetu muombezi, kwa Yesu Mwanao Maria mwema, tusaidie. Uwe wetu Muombezi kwa Yesu Mwanao Maria mwema tusaidie./[emoji445][emoji445][emoji445]
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]Pyepyeeepyeeepyeee ntolililo ntolililoooo[emoji445][emoji445][emoji445]
Jaribu kuimba haka ka wimbo ukiwa unaoga maji ya baridi huku unaruka ruka pyepyeyeyepyeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…