Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Msaada mkubwa aisee japo hawa jamaa hanaga kusaidia people
 
Ila mkumbuke mchezo wa soka umejaa ukatili, maana kwa mfano England imekaa na goli lao kwa takribani dk 75 za mchezo lakini mwisho wa siku wamepoteza huo mchezo. Poleni England, ila punguzeni kujisifia sifia ili muwe na heshima na nchi nyingine huenda mkafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…