Luca ModricNani mkuu
Lazima apewe haki yakeAmepiga mpira mkubwa sana WC hii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]*Breaking new*
*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa** [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana nae amevivaa namuuliza ananiambia eti ni ROAD TEST" [emoji23][emoji23][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Busara ni pale unapomuomba msamaha mtu uliyemkosea,Utumwa ni pale unapomuomba msamaha mtu aliyekukosea...
Mkuu ulipitwa na final ya WC, hakuna game kali kama ile toka hii WC ianze..Croatia dhidi Russia sikuiona, niliona dhidi ya Dernimark. Na mechi zao za makundi
Fatilia vizuri pale kati kati alisema hiyo imechangiwa na wachezaji kuchoka sana, unajua Croatia wamecheza dk 120 game tatu mfurulizo..Ila kauli yake ya mwisho ina mashaka na inaonesha hawaamini sana wacheza rough wake japo waliitoa ENGLAND
[emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiiiHuyo ni Google mkuu hakuna kinachomshinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hakuna kitu kama hicho aisee...Kazingua sana.Aaah!! Kwakweli kaongea ukweli mtupu
[emoji23][emoji23] hujambo?[emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii
Kama unampinga wewe basi utakua upande wa malkia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hakuna kitu kama hicho aisee...Kazingua sana.