Nisamehe bure ndg yangu, sidhani kama nilidhamiria...Itakuwa majukumu mengine yalichukua nafasi nikashindwa kuifuatilia hiyo salamu...Mimi nilikusalimia wewe tu ndio ukanichunia basi nikamuachia Mungu
Kwan unataka kuzdownload?Hapana sijaweza,nifundishe
Ok illmatic iko vzr,,,kwangu mm It Was Written ni bora zaidi ya IllmaticIllmatic mkuu
Wapi Pyaar, popote ulipo nakusalimu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hatimaye amepatikanaView attachment 808204
[emoji16] [emoji16][emoji23][emoji23]
Basi kapicha kidogo kusindikiza hiyo kauli yako
Kwema?Salaam mkuu
Kingunge wa wahenga. Alishinda huu uchaguzi au aliamua kupumzika? Afrika ina maajabu sana !!!
Tunadanganyana mkuu, sidhani kama bara la Ulaya na Amerika wanatuzidi kwenye suala la kupiga ndumba sisi waafrika mpaka tushindwe kila sekta ya michezo.Tumeshindwa kupeleka hata Wakerewe na Wapemba kwenye mashindano ya kuogelea?