mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,921 Samaki huyo amekuwa kivutio cha watalii, akizurura katika gati mbali mbali na kuonekana katika maelfu ya picha zilizosambazwa katika mitandao.
Samaki huyo amekuwa kivutio cha watalii, akizurura katika gati mbali mbali na kuonekana katika maelfu ya picha zilizosambazwa katika mitandao.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,922 Anasema kwamba baada ya dakika chache za kuchukua mkao , raia mmoja wa eneo hilo alimshawishi kuolea majini huku mwili wake ukiangalia juu.
Anasema kwamba baada ya dakika chache za kuchukua mkao , raia mmoja wa eneo hilo alimshawishi kuolea majini huku mwili wake ukiangalia juu.
Bradha JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 8,784 Reaction score 45,268 Jul 13, 2018 #766,923 uniq said: Morning All. Click to expand... Morning to you mkuu. Karibu Dar.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,924 ''Wakati huo watu walikuwa wameanza kupiga picha , nilipokuwa nikilala kuangalia juu nilihisi kitu kimenivuta chini'', alisema.
''Wakati huo watu walikuwa wameanza kupiga picha , nilipokuwa nikilala kuangalia juu nilihisi kitu kimenivuta chini'', alisema.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,925 Babake mpenzi wake alikuwa akimpiga picha Katarina wakati huo, na kwa bahati nzuri akapata kisa chote katika kamera yake.
Babake mpenzi wake alikuwa akimpiga picha Katarina wakati huo, na kwa bahati nzuri akapata kisa chote katika kamera yake.
Bradha JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 8,784 Reaction score 45,268 Jul 13, 2018 #766,926 Morning every1
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,446 Jul 13, 2018 #766,927 mzee wa liver said: Morning mkuu Click to expand... Morning mkuu,,, habari za asubuhi
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,446 Jul 13, 2018 #766,928 mzee wa liver said: Inawezekana tafiti upingwa kwa tafiti by twaweza Click to expand... Hahahah kweli aisee
mzee wa liver said: Inawezekana tafiti upingwa kwa tafiti by twaweza Click to expand... Hahahah kweli aisee
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,929 Papa huyo alimzuilia chini ya maji kwa sekunde chache kabla ya kuamua kuondoa kiganja chake cha mkono katika mdomo wake.
Papa huyo alimzuilia chini ya maji kwa sekunde chache kabla ya kuamua kuondoa kiganja chake cha mkono katika mdomo wake.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,930 Picha hizo zinamuonyesha akifunika jereha hilo na kuinua mkono wake katika juhudi za kuzuia damu kuenea katika maji .
Picha hizo zinamuonyesha akifunika jereha hilo na kuinua mkono wake katika juhudi za kuzuia damu kuenea katika maji .
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,931 "Wakati huo mwili wako una wasiwasi mwingi na hatua ya pekee ni kujiondoa katika hali hiyo, lakini nilitulia'' ,anasema.
"Wakati huo mwili wako una wasiwasi mwingi na hatua ya pekee ni kujiondoa katika hali hiyo, lakini nilitulia'' ,anasema.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,932 "Nadhani iwapo mtu angepiga kelele na kuinua mikono akitafuta usaidizi hali ingebadilika "
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,933 Katarina alilazimika kushonwa na kupewa dawa , na bado ana vipande vya meno vya papa huyo vilivyosalia katika kidonda hicho.
Katarina alilazimika kushonwa na kupewa dawa , na bado ana vipande vya meno vya papa huyo vilivyosalia katika kidonda hicho.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,934 Jeraha hilo la meno litawacha kovu baya , lakini mwanamitindo huyo alisema kwamba anahisi amebarikiwa kwamba tukio hilo halikuwa baya sana.
Jeraha hilo la meno litawacha kovu baya , lakini mwanamitindo huyo alisema kwamba anahisi amebarikiwa kwamba tukio hilo halikuwa baya sana.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,935 Tangu habari yake kuchapishwa katika vyombo vya habari vya Marekani , Katarina amepokea maelfu ya mashabiki katika mtandao ikiwemo shutuma chungu nzima
Tangu habari yake kuchapishwa katika vyombo vya habari vya Marekani , Katarina amepokea maelfu ya mashabiki katika mtandao ikiwemo shutuma chungu nzima
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,936 Amekasirishwa na vile alivyodaiwa anapenda sana mitandao ya kijamii bila tahadhari yoyote.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,937 Mwanamitindo huyo hakupanga kupakia picha hizo katika akaunti zake za mitandao ya kijamii hadi alipofuatwa na waandishi kuhusu uzoefu wake wiki hii.
Mwanamitindo huyo hakupanga kupakia picha hizo katika akaunti zake za mitandao ya kijamii hadi alipofuatwa na waandishi kuhusu uzoefu wake wiki hii.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,938 Katarina pia amepinga madai kwamba alipuuzilia mbali ushauri wa wenyeji na kuingia majini wakati wa saa za kulishwa kwa wanyama hao.
Katarina pia amepinga madai kwamba alipuuzilia mbali ushauri wa wenyeji na kuingia majini wakati wa saa za kulishwa kwa wanyama hao.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,939 ''Walichukua habari walizotaka na kuchapisha kwa njia ambayo zilinifanya kuwa mwanamitindo mjinga katika instagram'', alisema.
''Walichukua habari walizotaka na kuchapisha kwa njia ambayo zilinifanya kuwa mwanamitindo mjinga katika instagram'', alisema.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Jul 13, 2018 #766,940 Nimepokea maoni ya ujeuri na ya chuki kutoka kwa wayu ambao walikuwa wakisema vitu vya kushangaza.