Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Najua mkuu. Nilikuwa namchokoza tu Mzee wa Liver na malkia wake. Ni wadau wakubwa wa mvuvumko wa Waafrika kujitambua (Mf. Yesu na mitume wote walikuwa weusi, ..)Hahah!! Itakua wanasema kwa muda tulionao
Hahah!! Huu mjadala utakua mrefu sana acha tuishie hapa, alafu naona jana tulipishana kwenye mida yetuNajua mkuu. Nilikuwa namchokoza tu Mzee wa Liver na malkia wake. Ni wadau wakubwa wa mvuvumko wa Waafrika kujitambua (Mf. Yesu na mitume wote walikuwa weusi, ..)
Tunamshukuru mwenyezi tunalisogeza mdogo mdogoNiko poa sana mzee wa ini,sijui wewe
Kwema mkuu Mansa Musa ni kweli kwa rekodi zilizopo sio mweusi yaani duniani hajapata tokea tajiri kama yeye kwa mujibu ya wana historia sijui mflame Suileman anasimama wapiSisi tunamtambua Mansa Kanka Musa. Kwema mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie aje hapa tule likes [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
nime like usiishe labda afunge jpm mwenyeweMkuu, uishe ili iweje?
Funga uuombee usiishe kamwe !!!
Alikua akibaba dhahabu kwenye ngamia...Sisi tunamtambua Mansa Kanka Musa. Kwema mkuu?