myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukipenda jongoo na mti wake ....Yaani napoteza muda wangu kuangalia mpira??
Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitaki amini
hhhahahahahahahMagoli yanazidi kumiminika kama mvua...
View attachment 810132
Unaniuliza miye au kaYego?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani dinner lazima umumunye eeh??
Nawe jiandae kumumunywa. Kamumunyaji kenyewe kataalamu ka kula samaki (sato). Kuanzia kichwani samaki anakobolewa minofu yote halafu pole pole kanashuka mkiani. Kazi unayo. Dinner [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Upendo gani tena jirani??Ndio hivyo upendo tena...
Mikeka inachanika leoNa wewe timu yako imepigwa mkuu. Pole..
82Dakika ya ngapi wakuu?
Nakuuliza wewe shemUnaniuliza miye au kaYego?
Nimejikuta natoka jasho mkuu bila kutegemea natetemeka yaani acha tuNa wewe timu yako imepigwa mkuu. Pole..
Usiniangushe poti...Hahaa, huu uzi umeharibu watu, daa! [emoji23][emoji23]
Mimi najiandaa kwenda milimani kufunga na kuombea huu uzi maana hali ni mbaya [emoji16][emoji16]Hahaa, huu uzi umeharibu watu, daa! [emoji23][emoji23]
Angalia moyo wako usizime. Uliweka mkeka wa haja eeeh!? Bado dakika kama 8 hivi. Maajabu yaweza tokea [emoji16][emoji16][emoji16]Nimejikuta natoka jasho mkuu bila kutegemea natetemeka yaani acha tu
Jizaziiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Usiniangushe poti...
Na kama una midevu ndo safi kabisa kwa dinner ya leo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mimi najiandaa kwenda milimani kufunga na kuombea huu uzi maana hali ni mbaya [emoji16][emoji16]