Na wewe pia mkuu. Mungu AkulindeGood nights wapenzi wa futiball.
Uwe na usiku mwemaGood nights wapenzi wa futiball.
Nenda kwenye dinner yako poti....
Thanks a lot...Uwe na usiku mwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeeKamenikimbia haka katoto, naugulia maumivu tu hapa! [emoji6][emoji24][emoji24]
Pole sana. Siku ukikakamata lazima ulipizie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kamenikimbia haka katoto, naugulia maumivu tu hapa! [emoji6][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana. Siku ukikakamata lazima ulipizie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dunia mapito.
Rich dad poor dad-Robert Kiyosaki.
Kibarua kimeota nyasi