CCM Ni ya milele walahiKabisaaaaaa. Anayepinga atapata taabu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wameamua kuamua wenyewe nani awe diwani[emoji23]..Halafu wanateuliwa na tume? Hiyo fomu inamaanisha nini? Mbona wasiseme hajachaguliwa badala ya hajateuliwa?
Asante, uwe na jioni njema piaSalama kabsa Consuela,,
Nikutakie jioni njema
Kweli kabisa...Kwema mkuu?Tunaishi mara moja na kufa mara moja tu