myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iweje tuandikie mate ili hali wino unao, wengine fuateni nyayo za Paulina kisha mzifungue PM zenu tuwamwagie sifa zenu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Weekend inanukiaHabari za weekend wakuu
Basi kundi hili haumo...Vipi lakini kwema?hata kama sio kwa kupitiliza😱😱😳😳
[emoji23][emoji23]Hapana, mishe mishe tu zilinizidia [emoji4]Mungu ni mwema. Nipo vizuri kabisa. Ulikuwa kwenye paper? Ni muda sijakuona
Tehetehetehemi nimesikia make kuna wa pembeni yangu alikua akinisomea ndo nka mwambia anukuu maneno yangu
Uzi wa kijanja ,Uzi wenye afyaUzi ninao upenda kuliko zote JF
naomba line ya azam