Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anytime you see a girl shaking her buttocks while walking, just know she is going to her guy's place.
How did I know because it's written on syrup bottles "shake well before use" wisdom will kill me one day.[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kikosi cha wachezaji ghali kinaundwa:
Alisson (Roma kwenda Liverpool kwa pauni 65m)
Benjamin Mendy (AS Monaco kwenda Man City, pauni 51.75m)
Virgil van Dijk (Southampton kwenda Liverpool, pauni 70.1m)
Aymeric Laporte (Atletic Bilbao kwenda Man City, pauni 58.5m)
Kyle Walker (Tottenham kwenda Man City, pauni 47.5m)
Paul Pogba (Juventus kwenda Man United, pauni 94m)
Philippe Coutinho (Liverpool kwenda Barcelona, pauni 112.5m)
 
STAA mpya wa Liverpool, Fabinho amefichua kwamba amekuwa akimshawishi chinichini staa wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe ili atue huko Anfield wapige kazi.
Fabinho amehama Monaco kwenda kujiunga na wakali hao wa Merseyside kwa ada ya Pauni 40 milioni mapema kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi ikiwa ni sehemu ya moto wa Liverpool katika kunasa mastaa wa maana ambapo hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…