Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu uchaguzi mdogo wa udiwani na ubunge unaotarajiwa kifanyika mwezi ujao,una mambo mengi sana yanayohitaji ufafanu lakini naona Mh Kangi Lugola amefanikiwa kuteka mijadala yote.

Hata lile la kushuka kwa mapato Mererani kutoka milioni 144 mpaka 40 kwa mwezi nalo lilihitaji mjadala kuhusu nini chanzo na nini kifanyike ila naona bandika bandua za Kangi Lugola zimeyazima haya yote.

Na ninadhani kuanzia tarehe moja ambapo kampeni zitakuwa zinashika kasi kuelekea kwenye uchaguzi wenyewe,naziona bandika bandua nyingi sana.

Ni mwendo wa bandika bandua ,halafu huko kwenye uchaguzi watu wanachapwa mapingamizi tu kwa kushindwa kuandika "ZINJANTROPUS"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…