Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
ROMAN REIGN " Roman Empire"Undertaker
Dada unatumia gongo kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakua gongo ile sio mie daah kuna nati zililegea bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] Hapana, hiyo ni sawa na jambazi kukutana na polisi kwenye tukio la kiharifu kila mmoja amefika kutimiza jukumu lake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] . hapo mambo huwa ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]*Kuwa Na Mkeo Group Moja La Whatsapp Ni Sawa Na Vikundi Viwili Vya Majambazi Kukutana Bank....[emoji23][emoji23][emoji23]*
Hahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huyu dogo atazeekea skuli asipokazana. Mbaya zaidi anatotoa vichanga tu ka yule jamaa wa jana. Na mahari hataki kutoa yeye anajua kuzalisha tu. Sad !!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hata mafriimasonsi wanakufa tu. Kifo hakichagui aisee...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usiku wa kumumunyaaaa