Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,781 105.Kama utaanza mahusiano kwa uongo , utapoteza uaminifu wako , matarajio yao ndani yao pale ukweli unapoonekana.
105.Kama utaanza mahusiano kwa uongo , utapoteza uaminifu wako , matarajio yao ndani yao pale ukweli unapoonekana.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,782 104.Kitu cha kwanza ambacho tunataka watu wakifanye, ndio hicho ambacho wamefanya hata kabla ya kujifunza kutoka kwao.
104.Kitu cha kwanza ambacho tunataka watu wakifanye, ndio hicho ambacho wamefanya hata kabla ya kujifunza kutoka kwao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,783 103.Ukiongea uongo mwanzo tu , na ukweli wako utakuwa wa kujiuliza.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,784 102.Watu ambao hawakuamini kabla ya maelezo, hawatakuamini hata baada ya maelezo. uaminifu sio kitu cha kuomba upewe muda uonyeshe
102.Watu ambao hawakuamini kabla ya maelezo, hawatakuamini hata baada ya maelezo. uaminifu sio kitu cha kuomba upewe muda uonyeshe
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 23, 2018 #776,785 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh !!!
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,786 carbamazepine said: Acha kunisababishia njaa basi[emoji23][emoji23][emoji23] Ushaelewa nilichomaanisha basi tu unajitia jeuri[emoji36][emoji36][emoji36] Click to expand... Hahahahah
carbamazepine said: Acha kunisababishia njaa basi[emoji23][emoji23][emoji23] Ushaelewa nilichomaanisha basi tu unajitia jeuri[emoji36][emoji36][emoji36] Click to expand... Hahahahah
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 23, 2018 #776,787
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 23, 2018 #776,788
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,275 Reaction score 80,330 Jul 23, 2018 #776,789 Yegomasika said: Umeanza mwanawasu! [emoji23][emoji23] Click to expand... Hahah!
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Jul 23, 2018 #776,790
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,791 103.Ukiongea uongo mwanzo tu , na ukweli wako utakuwa wa kujiuliza.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,792 87.Kitu cha kuhuzunisha ni pale unapovunjika moyo na kuogopa kumpoteza mtu ambae unamwamini na kumpenda, halafu akakuvunja moyo,ni ngumu kupona.
87.Kitu cha kuhuzunisha ni pale unapovunjika moyo na kuogopa kumpoteza mtu ambae unamwamini na kumpenda, halafu akakuvunja moyo,ni ngumu kupona.
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,911 Jul 23, 2018 #776,793
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,794 88.Kitu kibaya zaidi duniani ni pale unapomwamini mtu na kila alichokuambia ni kweli, kwamba nakupenda, nakuhitaji, nakujali, unanifanya niwe na furaha, halafu mwisho unagundua kuwa sio peke yako uliyeambiwa hivyo.
88.Kitu kibaya zaidi duniani ni pale unapomwamini mtu na kila alichokuambia ni kweli, kwamba nakupenda, nakuhitaji, nakujali, unanifanya niwe na furaha, halafu mwisho unagundua kuwa sio peke yako uliyeambiwa hivyo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,795 89.Umbali hauharibu mahusiano, hofu , wasiwasi ndio uharibu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,796 90.ukiumizwa ni ngumu sana kukubali kuwa na mtu mwingine , utaogopa.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,797 91.Uaminifu ni nguzo ya mahusiano, kosa dogo huharibu vitu vyote.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,798 91.Uaminifu ni nguzo ya mahusiano, kosa dogo huharibu vitu vyote.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,799 92.Ukisema utafanya kitu na hukifanyi unajidanganya, ndio maana huaminiki.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 23, 2018 #776,800 93.Mmoja anaposaliti kwenye mahusiano, hakuna sababu ya kubaki, kama anakupenda asingekusaliti.