Njoo uje ujionee utajiri usioonekana na wenyewe [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku nikitaka kufanya utalii wa ndani na shemejiyo nitakutafuta mkuu
Kumbe huyo pacha wa weye...Hongera [emoji23].Mie sijaona kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shepu kama nguzo ya umeme[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]flatass tunashida sana
Mmmmhhh! Hizo mbavu
Kumbe huyo pacha wa weye...Hongera [emoji23].
Hapo ukute mbele mna vitambi vya kufungia kitenge[emoji23][emoji38]
pako vizuri gharama zikoje hapoSelous , bonde la mto ruvu mikuraView attachment 817414
Avatar[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Mkubwa hakombi mboga
[emoji23][emoji23][emoji23],Hapana mimi mgongo na kiuno vinaonekana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo pacha wake huyuView attachment 817419
Ikiwa wewe ni mzawa gharama yako kubwa ni usafiri, kupiga picha na kuwinda gharma ni chachepako vizuri gharama zikoje hapo