Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Live life to the fullest."
- #Robert Louis Stevenson

The richest man is not he who has the most, but he who needs the least.
- Unknown

You can't control everything. Sometimes you just need to relax and have faith things will work out. Let go a little and let life happen. [emoji443]

"Darkness cannot drive out darkness; only light can do that. Hate cannot drive out hate; only love can do that."
- #Martin Luther King, Jr.

Happiness is a choice. You can choose to be happy. There’s going to be stress in life, but it’s your choice whether you let it affect you or not.
 
Leodgar Tenga kuhusu wachezaji wa kigeni. " Watu wanajiuliza kile wanacholipwa hawa wachezaji (wa kigeni) kisingeweza kutumika vizuri zaidi kujenga misingi ya mpira?

Klabu inatumia Bilioni 1 kusajjili wachezaji je haiwezi kutumia Bilioni 1 kujenga viwanja vya kuchezea mpira?" Leodgar Tenga Mwenyekiti BMT

Credit @oscaroscarjr
 
Goooooooooooo!! Haya haya sasa Mkwakwani Kumekucha!...Si Mwingine ni yule yule, Ally Saleh Kiba anaiandikia Coastal Union Goli la 4, ni Hat trick yake ya 3 Msimu huu na ni Goli lake la 27 katika Ligi,.. Mwalimu Kashasha unaelezeaje hili Goli?

"Ahsante Jesse John...hiki kitu alichopiga Ally Kiba kinaitwa Chopping Maroro diagnostic, aliwatazama Mabeki akapinda Mguu nyuzi tisini,aka-bend kidogo huku Macho yake yakiwa Horizontally na Mpira akaupeleka kwa kasi golini na Mguu wake kulia wenye nguvu kama Vacuum Cleaner....kwako Jesse John.
 
Kibali cha kuimba nje ya nchi kwanini kitolewe ndani ya nchi? Inabidi apewe kibali anakokwenda kwa sababu ndio wanajua mazingira ya huko kama vile usalama wa ukumbi atakakopiga na mengineyo...halafu anayezungumza anasema kabisa kwamba huwa wanawazuia wasanii wengi tu lakini hawatangazi...sema kwa Diamond inaelekea wanatafuta kiki....
Basata Mungu anawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…