Asante sana ndio nalisongeshaHakika huu ni upendo wa kipekee kabisa. Tunatambuana,tunakaribishana,lengo ni kuishi kwa furaha. Thank you Cole williams, karibu tearless. Jisikie huru, like uwezavyo ili nawe upate like.
Kuna kaukweli hapo
Why??Am about to lose my mind
[emoji4]Karibu tena
Nitaweka ulinziWapendwa. Leo nitaonekana hapa kwa nadra sana. Nawatakia siku njema na Mungu Awabariki sana. Nikirudi likes zitaanzia pale nilipoishia. Na Kichwa Kichafu please kaa mbali na Jakitoo [emoji179][emoji179][emoji179] wangu nisije nikarudi nikamkuta na pete kwa sababu unagawa pete kama peremende [emoji23][emoji23][emoji23]. Be blessed ma people!
Na wewe unanikana?No ain't Team up with you
Mzee wa snake Leo umelala vizuriKazi nimeimaliza.
AMUN RAMwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwangu
Salama kabisaWazima wote tu!
Kumbe na wewe mgeni kama mimi[emoji4]
Karibu sana. Simama imara uyashinde majaribu. Naenda kanisani, tutaongea mengi baadaye. Sawa mama?Asante sana ndio nalisongesha