Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

How do you call a guy like me who can go up to 10 rounds? Homeless? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]... What’s up with you, carbamazepine? [emoji1]
Kwa U Yego ulio nao unaweza kujitutumua kufika kote huko?!!!!
Kweli dunia haiwezi kuisha maajabu...
 
JOSE Mourinho ameripotiwa kuikataa ofa ya bosi wa Manchester United, Ed Woodward kumsajili Gareth Bale, Neymar au Kylian Mbappe katika usajili wa dirisha hili la majira ya kiangazi huko Ulaya.

Kocha huyo wa Man United alifichua hilo mapema wiki hii kwamba, bado anahitaji wachezaji wawili au zaidi kwenye kikosi chake na mmoja ni lazima awe mshambuliaji.
 
Winga huyo anayemtaka Mourinho hadi sasa bado hajapatikana. Kwenye dirisha hili la usajili wa majira ya kiangazi, Man United imetumia jumla ya Pauni 67.5 milioni kuwasajili Diogo Dalot, Fred na Lee Grant ambao wako na kikosi kwa sasa kule Marekani.
 
KAMA umesikia basi ndio hivyo, Chelsea wamekubali Manchester United wamchukue winga wa Kibrazili, Willian.

Kinachoelezwa Man United wamepeleka ofa ya Pauni 66 milioni kwa ajili ya kupata huduma ya mchezaji huyo na Chelsea hawakutaka kupoteza muda, wamekubali kufanya biashara.
 
Kitu kilichowashangaza wengi ni Kocha wa Man United, Jose Mourinho anamtaka pia beki wa kati wa Chelsea, Gary Cahill naye aje Old Trafford kuungana na wakali wenzake wa zamani wa Chelsea ambao, kwa sasa wanatupia uzi wa wababe hao wa Old Trafford.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…