Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais wenu anasema mtu wa kwanza kupiga ni mwanamke, ni shangazi. Shangazi ndiye ameonekana kiumbe dhaifu na dhalili wa kuanza kupigwa. Kwamba alalamike Zitto, aende kufanya maandamano zitto, aende kupigwa shangazi yake Zitto. Matusi makubwa kwa wanawake wa nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…