Huzuni....Watoto pacha walioungana tumboni na kifuani waliolazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza wamefariki dunia leo Agosti Mosi.
Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Abel Makubi amesema watoto hao wamefariki kwa tatizo la upumuaji.
Pacha hao walizaliwa Julai 25 katika Hospitali ya Sekotoure na baadaye wakapelekwa Hospitali ya Bugando, walikolazwa ICU.
Akizungumzia hali za pacha hao wiki iliyopita Dk Makubi alisema watoto hao Angelina Ramadhani (34) mkazi wa Nyakato jijini Mwanza, wameungana sehemu ya kifua na tumbo.
Majani ya mstafeli yanatibu pia:Numbisa hayo majani ya mstafeli yanatibi kansa pekee au na magonjwa mengine
Maandamano makubwa yameibuka kupinga matokeo ya uchaguzi wa kihistoria yanayoelekea kumpa ushindi Rais Emmerson Mnangagwa mara yalipotangazwa Jumatano Agosti Mosi, 2018 na mtu mmoja ameuawa kwa kupigwa.
Mtu huyo amefariki baada ya wanajeshi kuwafyatulia risasi za moto waandamanaji katika juhudi za kuzuia maandamano hayo ya wapinzani mjini Harare.
Uchaguzi huo, ambao ni wa kwanza tangu kiongozi wa muda mrefu Robert Mugabe alipoondolewa na jeshi mwaka jana, ulitarajiwa kuwapa Wazimbabwe fursa ya kufunika ukurasa wa utawala wa mkono wa chuma.
Majani ya mstafeli yanatibu pia:
Kisukari
Gout (maumivu ya jongo)
Maumivu ya mgongo
Yanaongeza kinga ya mwili
Yanaimarisha afya ya tumbo kwa ujumla
Kufunga choo
Msongo wa mawazo (stress)
Yanaimarisha afya ya nywele
Yanaimarisha afya kwenye mfumo wa upumuwaji
Yanaongeza afya ya ngozi
Mazuri kwa afya ya moyo
Yanadhibiti homa na kutuliza joto la mwili
Dawa nzuri kwa matatizo mengi ya uzazi
ubarikiwe mpendwa
Hii ndo afrika bana. No democracy,kila mmoja anapigania maslah yakechamisa hakusoma alama za nyakati
hivi unafikiri yule babu mnangwaga angekubali kubeba aibu ya kukosa uraisi baada ya kumpindua mwenzake?
Hii ndo afrika bana. No democracy,kila mmoja anapigania maslah yake