Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakitangaza wanauliwa. Baadhi ya vidonge vya kansa vinauzwa mpaka dola 2800 kidonge kimoja. Makampuni ya madawa hayatakubali kamwe !!!
 
Hii imethibitishwa? Haya mambo nayo yana matatizo yake. Mengine yanafaa kama kinga/virutubisho na kamwe siyo matibabu ya (full blown) cancer. Steve Jobs naye alijaribu mizizi ya Kihindi huko mara baada ya kansa yake kugundulika na bado kuna watu wanaamini kiwa angeanza matibabu ya kisayansi mara moja pengine angeweza kupona au kuishi muda mrefu zaidi.
 
Last edited:
*JITIBU NYUMBANI KWAKO*

*KIUNGULIA*

[emoji1484][emoji1484]
Aliyepatwa na kiungulia ale nyanya 1 asubuhi na jioni1 kitaondoka

*KUZUIA KUHARISHA*

[emoji1484][emoji1484]
Kamua maji ya chungwa lita1
Kunywa glass1 kutwa mara 3
Kuharisha kutakata

*HAMU YA KULA*

[emoji1484][emoji1484]
Andaa juice ya machungwa usichanganye na chochte
Kunywa glass moja siku mara3 mpk iishe
Hamu ya kula itakuja

*KIDONDA SUGU(kisichosikia dawa)*

[emoji1484][emoji1484]
Yaponde maua ya mchungwa mpaka yawe laini kisha weka kwenye kidonda baada ya kukiosha kitapona

*MAGONJWA YA NGOZI*

[emoji1484][emoji1484]
Osha sehemu iliyoathirika ponda maua ya mchungwa na pakaa sehemu iliyoathirka kutwa mara 2 patapona

*MAPUNYE NA FANGASI*

[emoji1484][emoji1484]
Chukua majani laiini ya mchungwa yaponde mpk yalainike kisha pakaa palipoathirika

*VIDONDA VYA TUMBO*

[emoji1484][emoji1484]
Anika maganda ya parachichi mpaka yakauke vizuri
Yatwange upate unga
Chota unga huo vijiko viwili changanya na asali safi vijiko viwili kula asubuhi na jioni kwa wiki1

*NGUVU ZA KIUMENI*

[emoji1484][emoji1484]
vijiko3 vya unga wa parachichi
Vijiko2vya unga wa hiriki
vijiko3vya asali safi
Changanya kwenye glass1 ya maziwa kunywa asubuhi na jioni

*TUMBO LA HEDHI*

[emoji1484][emoji1484]
Chemsha majani ya mparachichi
Kunywa glass1 asubuhi na jioni siku7

*ANAYEKOJOA KITANDANI*

[emoji1484][emoji1484]
Chemsha ndevu za mahindi anywe kikombe cha chai asubuhi na jioni $iku3-7

*MATATIZO YA FIGO*

[emoji1484][emoji1484]
Chemsha ndevu za mahindi chuja kunywa kikombe cha chai kutwa mara 3 siku 11-21

*ASIYEONA VIZURI*

[emoji1484][emoji1484]
Achemshe mizizi ya mahindi chuja kunywa glass1 Kutwa mara 2 kwa siku3

*MALARIA*


Chukua ndimu7,zikamue kwenye glass
Andaa glass1 ya maji ya dafu
Changanya kunywa kutwa mara2 mpk upone

*KUTOA SUMU MWILINI*


Kunywa nusu glass ya maji ya.ndimu kila mwezi kwa muda wa miezi 2 sumu itaondoka

_______________________________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…