Kwanini unamuenzi?Google Goddess Isis!
Puliziii
Mmmmhhh hatariiiNamna ya kufanya mazoezi ya sehemu ya chini ya kiuno (pelvic):
~Keti au usimame wima huku magoti yako yakiwa yameachana kidogo na kisha pandisha juu misuli ya sehemu ya chini ya kiuno kama unataka kuzuwia kupitisha mkojo.
safii
Leta hela nikutumie nyimbo,...
Teh teh teh teh teh
sawa sawaKuhusu utalii wa picha kwenye mbuga zetu utaendelea
Ni Mungu!Kwanini unamuenzi?
Sorry, i am just curious.Nimejaribu kusoma kidogo mtandaoni na kama nimeelewa ni kama mungu mtu hivi(so it's like kuna mambo ya dini/imani) ...Au labda unifafanulie zaidi kwa kiswahili.