HahahahahaWapendwa. Leo nitaonekana hapa kwa nadra sana. Nawatakia siku njema na Mungu Awabariki sana. Nikirudi likes zitaanzia pale nilipoishia. Na Kichwa Kichafu please kaa mbali na Jakitoo [emoji179][emoji179][emoji179] wangu nisije nikarudi nikamkuta na pete kwa sababu unagawa pete kama peremende [emoji23][emoji23][emoji23]. Be blessed ma people!
Karibu mtaan kwetuMy goodness!!! mate yamenidondokaaa, lol
Siku mpya mambo mapyaMbona unakimbia mimi mgeni humu carbamazepine naomba masaada
Mi nimeamka salama engagement nitavishwa mpaka akinilipia kodiHujambo binti?umeamkaje?engagement lini??
Asante sana mkuuKwema karibu mgeni
AiseeehAisee
Kwema mkuucarbamazepine, niaje kwema
Njema kabisaKumekucha wakuu...habar za mwamko?