Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Leo napenda kutumia nafasi hii kuwashukuru sana sana kwa uwepo wenu mahali hapa ..najisikia kusema tu mbarikiwe, nawapenda sana ..wote mliopo kwenye uzi huu Mungu akutane na haja zenu...

Sitachoka kuwashukuru na kuwapenda wanalikes...

Niwaombe msizimie mioyo, wala msichoke, wala msikate tamaa, tuzidi kumtumikia Mungu kwa bidii sana..

Msijidharau wala msijichukie
mshukuruni Mungu na mtukuzeni pia kwa jinsi mlivyo...

Nawapenda sana sana ...
Mmebarikiwa sana.
Nyie ni watu muhimu sana sana.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
*KWA MFANO WEWE NI MENEJA WA KIWANDA CHA NETI, MTU AKIJA KUOMBA KAZI HAPO HALAFU KUKAWA HAMNA KAZI, KWA KIINGEREZA SI NDO UNAWEZA KUSEMA*
*"NO NETWORK"*[emoji848]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
nakuja nimeitwa
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
[emoji120] [emoji120] ubarikiwe pia
 

Shukrani sana, dadake! Na sisi tunakupenda sana! [emoji120][emoji120]
 
Asante sana,,, ubarikiwe pia[emoji120] [emoji120]
 
YOHANE 15:9-11

9 Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu.
10 Mkizishika amri zangu, mtakaa katika pendo langu; kama vile mimi nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.
11 Hayo nimewaambia, ili furaha yangu iwe ndani yenu, na furaha yenu itimizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…