Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Thamani ya mwanadamu imefutwa na wanasiasa. Kuendelea kushabikia siasa hizi za hovyo hovyo ni kushiriki kuwanyanyasa wananchi masikini wasio na uwezo wa kujitetea kwa namna yoyote ile.

That's so true, bahati mbaya sana hawa watu wanaonyesha kutojali kabisa .. SIASA ya sasa Tanzania haina UTU, dhamiri ya dhati kuwatumikia wananchi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…