Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi: Kuna Chakula Gani?]

Mhudumu: Wali na Ugali Kuku, samaki, Nyama na Ndizi

Mimi: Wali Nyama Sh Ngapi Mhudumu: 7500

"Brain Cell 1: Agiza Acha Ujinga

"Brain Cell 2: 7500 inatosha, Mfukoni si Una Elf 10

"Brain Cell 3: Basi Sawa, Acha Tuagize Tu


Mouth: NIPE WALI MBOGAMBOGA za 2000 😊😊
 
Everton wamefikia makubaliano na Barcelona kumsaini mlinzi wa Colombia Yerry Mina, 23, kwa pauni milioni 28.5 kwa mkataba wa miaka mitano. (Sport - in Spanish)
 
Everton wamewaambia Manchester United kuwa watamchukua beki ya miaka 28 raia wa England Chris Smalling au mlizni wa Sweden Victor Lindelof, 24, ikiwa klabu hizo mbili hazitaafikia makubaliano kuhusu mlinzi raia wa Argentina Marcos Rojo, 28. (Teamtalk)
 
Manchester United wanajiandaa kutoa ofa kwa beki wa Leicester Harry Maguire, 25, na kwamba sasa wanaweza kulipa pesa nyingi zaidi katika rekodi kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa England. (Sky Sports)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…