carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ukarimu jirani..
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ataenda alika wengine
Kweli kabisa jirani..Ukarimu hufilisi mali jirani[emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]
He!! Kikioza si hasara jiraniBora kioze[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
He!! Kikioza si hasara jirani
Watalii mwakaribishwa mje kujionea mengi Tanzania🎤🎶🎶Ruaha National parkView attachment 828699
Hasara inaliza jirani😂😂😂😂Bora upate hasara mali si yako?
Bora upate hasara mali si yako?
HahahahahaHawezi alikua...akialika kesho hatapewa tena..ukarimu utasita
Majirani wengine ni kuchoshana tu[emoji23]Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe. Amri ya Mungu hiyo ujue, ooh! [emoji1][emoji1]
Kheri upate hasara kuliko kumpa jirani[emoji23]Hasara inaliza jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania ina wanyama wengi tena wa ajabu na kuvutiaaa🎤🎶Ruaha Mkuu ndani ya Ruaha National parkView attachment 828709