Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni vionjo vya usiku wa manane hivi nikiwa huku lindoni kwangu. Umepotea sana aisee. Kwema?Shimba memes zako ndio zinanifanya niwe natembelea huu uzi. Trust me
Mkuu, kifenesi ingekuwa kama chaki tungejivunia nini nyakati hizi?
Naam kwema kabisa.Ni vionjo vya usiku wa manane hivi nikiwa huku lindoni kwangu. Umepotea sana aisee. Kwema?