Sawa. Mida ya mchana usikose utazikuta tu. Zile za Kiswahili cha Kikenya?Naam kwema kabisa.
Napenda meme zile za vichekesho
Ndioo zile. Nakua nacheka pekee angu tuSawa. Mida ya mchana usikose utazikuta tu. Zile za Kiswahili cha Kikenya?
Haya. Usikose mchana mchana...Ndioo zile. Nakua nacheka pekee angu tu
[emoji107] [emoji107] [emoji124]Asiyependa wanawake warembo anyoshe mkono
Wanzania hawataki kwenda kuviona vivutio hivi, sasa tunawafuata popote walipo angalau kwa habari picha ili wajionee raslimali zao zinavyohifadhikaEbana Mudi eeh..
Big up sana mkubwa unajitahidi kututangazia vivutio vyetu. Safi sana
#Patriot
Naomba msinitoe kwenye reli please.Mwanamke jichoView attachment 828936
Kabisa mkuu ila umaskini na lack of exposure vinachangia mnooWanzania hawataki kwenda kuviona vivutio hivi, sasa tunawafuata popote walipo angalau kwa habari picha ili wajionee raslimali zao zinavyohifadhikaView attachment 828937