carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Naomba kujua kabila lako shem kama hutajali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma bhana mnashida sana
MmakondeNaomba kujua kabila lako shem kama hutajali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ba! Hivi nyie ndo kulaga zile mwaitaga nchamaki nchanga??? Nyie ntambo kweli kweli.Mmakonde
Ba! Hivi nyie ndo kulaga zile mwaitaga nchamaki nchanga??? Nyie ntambo kweli kweli.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie kutowaweza nyie.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ba!ile ndo mboga yetu somo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie kutowaweza nyie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Za mwamko?
Huku kwema sana, kiubaridi kwa mbaali...Vurugu za hapa na pale za kutafuta chochote kitu zimeshaanza.Safi tu maa,za huko uliko?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]As we start a new day,Mungu awalinde siku nzima ya leo
Awaongoze katika kila la kheri mtakaloenda kulifanya
Akawafanyie wepesi kwenye kila lililogumu na zito
Awaponye wote wenye maradhi,awajaalie afya njema
Akawape faraja wote wenye uhitaji[emoji120][emoji120][emoji120]