Shukrani,,, ngoja nitafatilia nicheki,,,wapi Becky, sue, jonnie juma real, qwin trizzyTangu jumatatu ya juzi
VHS tulikuwa tunaita tofali zile [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]home kuna mahala nimezihifadhi kabisa,halafu ziko nyingiWewe una video mie nina hadi kaseti zile kuubwa kuzidi chapati,enzi huwez elewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo mambo ya singeli ya wanaume wa dar wewe!!!Wewe subiri tukianza kuongelea kina msaga sumu tutakuita[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kijana mgumu wa zaman saiv ugumu kwishaa daah chumban kwangu usijeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji123][emoji123]
[emoji3][emoji3][emoji3]ukiwa mkubwa na wewe utafaidi usijaliAcha tu,,, kuwa mkubwa raha sana,, wakubwa wanafaidi alisema mzee wangu Andjul
Oooh boy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] hata urengaji ni rahisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe una video mie nina hadi kaseti zile kuubwa kuzidi chapati,enzi huwez elewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kamata andaetin carba meen,naongelea nyingine zipo kama CD ila ni makubwaaa kama chapatiHVS,tulikuwa tunaita tofali zile [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]home kuna mahala nimezihifadhi kabisa,halafu ziko nyingi
Unakitamani eeh?? Wewe komaa nacho hiki hiki kizazi chako cha hainaga ushemeji kilichojaa kina uchebe kila sehemu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mabishano yenu yamenikumbusha zamani enzi za "chama chetu cha mapinduzi cha jenga nchi [emoji122] [emoji122] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] "Rashidi funika kikombe " ooh chama sasa ooh chama cha jenga nchi[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444]Unawajua empire bakuba wewe??[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio kizazi chenu cha singeli bhana
Unajua na wewe ni used toy??[emoji23][emoji23]
HVS,tulikuwa tunaita tofali zile [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]home kuna mahala nimezihifadhi kabisa,halafu ziko nyingi
We wa mkoani??[emoji23][emoji23][emoji23]ninge bhanaHayo mambo ya singeli ya wanaume wa dar wewe!!!
Kweli aisee,,, [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]ukiwa mkubwa na wewe utafaidi usijali