Hapa twauza supu ya mapupu tu.Wakuu chai na chapati wanauza kiasi gani??
[emoji23] [emoji23]Hapa twauza supu ya mapupu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]
Like?Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Hapana mkuu ya Kondoro hayawezi nistusha,Mbona kama umestuka sana mkuu Malcom Lumumba
Mambo ya weekend
Aisee,, juzi kati tu tulikuwa tunamjadiri huyu mzee,, ukasema sasa hv anauza mitaalama kwenye vyuo mbalimbali,,, anastahili huyu mzee,,, na huko tunakoelekea atakuja kupata nafasi kubwa tuningendako Bwana Kondoro kawa mwenyekiti wa bodi ya NACTE
Haki ya mama tena,