Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji253]A beautiful message" Why Me ? "[emoji253]

by Arthur Ashe ,


The legendary Wimbledon Player who was dying of AIDS , which he got due to Infected Blood he received during a Heart Surgery in 1983 !

during his illness , he received letters from his fans , one of which conveyed :

" Why did God have to select you for such a bad disease ? "

To this Arthur Ashe replied :

⁃ 50 Million children started playing Tennis ,

⁃ 5 Million learnt to play Tennis ,

⁃ 500 000 learnt Professional Tennis ,

⁃ 50 Thousand came to Circuit ,

⁃ 5 Thousand reached Grand Slam ,

⁃ 50 reached Wimbledon ,

⁃ 4 reached the Semifinals ,

⁃ 2 reached the Finals and

when I was holding the cup in my hand , I never asked God :

" Why Me ? "

So now that I'm in pain how can I ask God :

" Why Me ? "

Happiness ... keeps you Sweet !

Trials ... keep you Strong !

Sorrows ... keep you Human !

Failure ... keeps you Humble !

Success ... keeps you Glowing !

But only , Faith ... keeps you Going !

Sometimes you are not satisfied with your life , while many people in this world are dreaming of living your life .

A child on a farm sees a plane fly overhead dreams of flying , while a pilot on the plane sees the farmhouse and dreams of returning home .

That's life !

Enjoy yours ... If wealth is the secret to happiness , then the rich should be dancing on the streets .

But only poor kids do that .

If power ensures security , then VIPs should walk unguarded .

But those who live simply , sleep soundly .

If beauty and fame bring ideal relationships , then celebrities should have the best marriages .

Live simply , be happy ! Walk humbly and love genuinely !
 
Walikuwa wamehusishwa na Toby Alderweireld wa Tottenham, Harry Maguire wa Leicester na nyota wa Bayern Jerome Boateng dirisha la sasa la kuhama wachezaji.
Na Mashetani hao Wekundu waliwasilisha ofa ya kushangaza nyakati za mwisho wakimtaka beki wa Atletico Madrid Diego Godin - lakini mchezaji huyo sasa anatarajiwa kutia wino kwenye mkataba mpya katika klabu hiyo ya Uhispania.
 
Spurs walikuwa miongoni mwa klabu 14 zilizopiga kura Septemba mwaka jana kutaka siku ya mwisho ya kuhama wachezaji ibadilishwe. United walipinga.
Arsenal na Liverpool pia hawakumsajili mchezaji yeyote siku ya mwisho ya kuhama wachezaji ingawa si wengi waliotarajia wanunue wachezaji ikizingatiwa kwamba walikuwa wamewanunua wachezaji kadha wa thamani ya juu mapema kwenye soko.
 
Pesa nyingi kutumiwa nje
Takwimu za Deloitte zinaonesha pesa zilizotumiwa dirisha la sasa zilishuka kwa £200m ukilinganisha na mwaka jana ambapo rekodi ya £1.4bn iliwekwa.
Siku ya mwisho pesa zilizotumiwa zilikuwa ni kidogo tu zaidi ya nusu ya pesa zilizotumiwa mwaka 2017 - £110m, chini kutoka £210m.
Lakini klabu za England zilitumia £880m, ambayo ni rekodi mpya, kuwanunua wachezaji wa ligi za nje, ukilinganisha na £770m mwaka jana. Asilimia 72 ya pesa hizo zote zilitumiwa na klabu za ligi kuu England - mwaka jana kiasi hicho kilikuwa asilimia 54.:
 
Ligiinayofuata kwa kutumia pesa nyingi ni Serie A, kwa jumla wakitumia £910m (ikiwa ni pamoja na £99m za kumnunua Cristiano Ronaldo), wakifuatwa na La Liga (£680m), Bundesliga (£400m) na Ligue 1 (£350m) - lakini soko katika ligi hizo bado halijafungwa
Klabu za Championship zilitumia £155m uhamisho wa wachezaji - kiasi kimepungua kutoka £195m mwaka jana
Klabu zilizotumia pesa nyingi zaidi Ligi ya Premia ni Liverpool (£165m), Chelsea (£120m), Fulham (£105m) na Leicester City (£100m)
Ni klabu tatu pekee zilizolipwa pesa nyingi kuliko walizolipa kuwanunua wachezaji EPL - Newcastle United, Tottenham Hotspur and Watford
 
Uhamisho wa dakika za mwisho ulifikisha idadi ya wachezaji waliohama siku ya mwisho hadi 25 ukilinganisha na 17 mwaka jana.
Idadi hiyo ni ya juu zaidi tangu 2014 lakini jumla ya wachezaji waliohama kipindi chote ilishuka kwa mwaka wa tano mtawalia.
Kabla ya uhamisho huo wa dakika za mwisho, dalili zilikuwa zinaonesha pengine kungeshuhudiwa idadi ndogo zaidi ya wachezaji kuhama siku ya mwisho sokoni katika historia ya Ligi ya Premia.
Mtaalamu wa masuala ya fedha katika soka Rob Wilson kutoka Chuo Kikuu cha Sheffield Hallam anasema: "Klabu ziliwekeza sana mwaka jana tuliposhuhudiwa kutumiwa kwa £1.5bn. Bila mkataba wa mafao kutoka kwa utangazaji wa mechi kwenye runinga ambao utaongeza mapato kwa klabu, ilitarajiwa klabu hazingetumia pesa nyingi sana.
 
Isitoshe, bei kwa sasa ni za juu mno, na hilo limezuia baadhi ya klabu zisizo na uwezo mkubwa wa kifedha kununua. Manchester United, kwa mfano, hawajatumia pesa nyingi sana na kawaida wangelichangia kiasi cha jumla cha pesa zilizotumiwa. Nashuku kwamba ni kutokana na klabu nyingi kupandisha bei (Man United) moja ya klabu tajiri zaidi duniani ilipotaka kununua mchezaji ambapo United pengine waliamua tu kwamba hawatashikwa mateka."
Wilson anafikiri uhamisho wa Neymar wa £200m uliovunja rekodi ya dunia akitoka Barcelona kwenda Paris St-Germain mwaka jana umebadilisha mambo.
"Inaonekana bei ya wachezaji imepanda, hasa baada ya Philippe Coutinho kuhama kwa £140m+ kutoka kwa Liverpool kwenda Barcelona. Hii ina maana kwamba bei kimsingi imepanda maradufu kuliko ilivyotarajiwa kabla ya mkataba uliopita wa mafao ya runinga. Ni ishara ya wachezaji wachache kuhama lakini kwa bei ya juu."
 
AISEEE
 
[emoji253][emoji253]happy thoughts[emoji253][emoji253]

"I am a stable being. I remain calm and unaffected when people say something negative about me.

I know it’s just their opinion ... created based on their sanskars ... or their mood today.

Their opinion reflects THEIR reality, not mine. I remain stable because I know who I am.

My stability allows me to radiate peace to them ... this is their healing."

Happy thoughts! [emoji92]

[emoji837][emoji837][emoji837]
 
Hahaa eti andaeitini,mimi mzima kabisa.
Watoto kama wewe mnatakiwa muwe mmeshalala saiz wewe sijui jf wafanya nini[emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Masihara haya,, mm niwe andaeitini tena ,,mm mhenga bhana,, hv wewe ulikuwepo kile kipindi cha Bima Lee?
Hivi wewe hata zile tanganyika bus umezikuta kweli??

Mzee Andjul inabidi utoe darasa kwa hawa vijana wa hapa,,, wanahitaji shule aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaeitini kwa kujifaragua bhana,unanifurahisha sana.
Wahenga wenyewe tuko kimya tu hapa tunafurahia ku hengeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…