Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaeitini kwa kujifaragua bhana,unanifurahisha sana.
Wahenga wenyewe tuko kimya tu hapa tunafurahia ku hengeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo ni maoni yako aisee,, mhenga atabaki kuwa mhenga tu siku zote

Weekend vp carba?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaeitini kwa kujifaragua bhana,unanifurahisha sana.
Wahenga wenyewe tuko kimya tu hapa tunafurahia ku hengeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bwihi Bwihi Bwihi
 
Kocha wa Chelsea, Maurizio Sarri, amemwambia wazi kiungo wake Tiemoue Bakayoko kuwa ameshindwa kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Mchezaji huyo alisajiliwa kiangazi cha mwaka jana akitarajiwa kuwa mrithi wa Nemanja Matic aliyetimkia Manchester United.

Bakayoko alishindwa kujihakikishia nafasi chini ya kocha aliyemsajili Antonio Conte, tangu kutua kwa Sarri, nafasi ya Bakayoko imekuwa shakani na ameambiwa aende atakako.

Chelsea inatarajiwa kushuka dimbani kuanza kusaka taji la Ligi Kuu England itakaposafiri kuifuata Huddersfield.
 
Nadhani baadhi ya wachezaji wetu walioshindwa kujihakikishia namba wanaweza kwenda popote kwa mkopo, ninahitaji wachezaji 23 au 24 nitawaongezea chipukizi watatu au wane kutoka timun ya vijana,” alisema.

Aidha Sarri ametangaza kuwa Cesar Azpilicueta ndiye atakuwa nahodha wa kikosi cha Chelsea katika mchezo wa leo na bado hajafahamu kama unahodha huo utaishia kwenye mechi hiyo ama laa.

Sarri pia alisema bado anayumba hajajuwa nani atasimama langoni katika mchezo wa leo ni kipa wake ghali Kepa Arrizabalaga ama atasimama mkongwe Willy Caballero katika mechi itakayopigwa uwanja wa Kirklees.
 
Kocha Jose Mourinho ameumia baada ya wammiliki wa Manchester United, kutompa fedha za usajili, kwa hasira amesema hana uhakika kama atamaliza ndani ya nne bora ‘top four’.
Mourinho alibainisha hasira zake wakati akielezea maandalizi yake kuhusiana na mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu England itakayochezwa leo usiku dhidi Leicester City.
Alisema baada ya kushindwa kusajili kwa sasa anajipanga kuwatumia wachezaji waliopo kusaka pointi katika mchezo huo utakaofanyika kwenye uwanja wa Old Trafford.
 
Mourinho alisema kwa kutosajili kunampa wakati mgumu na sasa hana uhakika kama ataweza kuchuana na mahasimu wao Man City katika mbio za ubingwa kama ilivyokuwa msimu uliopita.
Alisema nia yake ilikuwa kukiboresha kikosi kilichomaliza Ligi kikipitwa pointi 19 na City, lakini hajui itakuwaje msimu huu.
"Nimelazimika kuweka mikakati kwa wachezaji hawa nilionao ila kwa hakika siamini kama tunaweza kumaliza katika nafasi ya pili tena,” alisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…