Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba anachekesha Sana aisee, anajivika uhenga hv hv
Kumbe Ukiacha Kujari, Haumii[emoji106] [emoji106] [emoji106]
inanukiaWeekend ndo inaanza hivyo taratibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Masihara haya,, mm niwe andaeitini tena ,,mm mhenga bhana,, hv wewe ulikuwepo kile kipindi cha Bima Lee?
Hivi wewe hata zile tanganyika bus umezikuta kweli??
Mzee Andjul inabidi utoe darasa kwa hawa vijana wa hapa,,, wanahitaji shule aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaeitini kwa kujifaragua bhana,unanifurahisha sana.
Wahenga wenyewe tuko kimya tu hapa tunafurahia ku hengeka
Muulize kama aliwahi kununua madaftari Tahfifu, pale karibu na Snow Cream; St. Joseph! [emoji23][emoji23]
Weekend
inanukia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] singeli ndio nn carba, msamiati huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaeitini bhana,tulia tu muda wako ukifika utahengeka saizi endelea kucheza singeli na mwenzio cole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Epl inaanza usiku huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaah bintiiiiiii yaan wa juzi juzi weuweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umemuona andaeitini mwenzio?
Leicester vs Manchester u