Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabingwa wa Ligi Kuu Hispania, timu ya Barcelona imevunja rekodi kwa mauzo baada ya kuvuna Pauni 111 milioni kwa mauzo ya kiangazi pekee.

Timu hiyo imeuza wachezaji kadhaa lakini walioipa fedha nyingi ni Yerry Mina, Paulinho na Andre Gomes pekee na kukinga kiasi hicho cha fedha ambacho hakijawahi kufikiwa na klabu yoyote kwa dirisha la usajili wa kiangazi.
 
Wengine ni Aleix Vidal aliyehamia Sevilla kwa Pauni 7.6 milioni, Paulinho aliyerejea Guangzhou Evergrande ya China kwa Paini 50 milioni.

Msimu uliopita Barca ilitumia Pauni 100 milioni kuwasajili Ousmane Dembele na Philippe Coutinho, ambapo kutokana na kanuni uamuzi wa Barca kuwauza Mina na Paulinho, wachezaji wanaotokea nje ya ukanda wa Ulaya kuliwapa fursa ya kuwasajili Malcom, Arthur na Vidal.
 
Licha ya timu hiyo kuwanunua mshambuliaji wa Bordeaux ya Ufaransa, Malcom raia wa Brazil na kiungo Arturo Vidal kutoka Bayern Munich ya Ujerumani lakini bado imebakiwa na fungu la kutosha.

Klabu zilizofungua pochi kuijaza Barcelona ni pamoja na Watford iliyomnunua winga Gerard Deulofeu (Pauni 13 milioni), Everton imewanunua Lucas Digne (Pauni18 milioni), Yerry Mina (Pauni 28.5 milioni) na Andre Gomes (Pauni 2 milioni kwa mkopo).
 
Juventus

Kusajiliwa: Cristiano Ronaldo (Real Madrid, 117m euros), Joao Cancelo (Valencia, 40.4m euros), Douglas Costa (Bayern Munich, 40m euros), Mattia Perin (Genoa, 12m euros), Andrea Favilli (Ascoli, 7.5m euros), Giangiacomo Magnani (Perugia, 5m euros), Emre Can (Liverpool, huru), Leonardo Bonucci (Milan, kubadilishana), Idrissa Toure (Werder Bremen, mkopo), Pablo Moreno (Barcelona, 700,000 euros).

Kuondoka: Tomas Rincon (Torino, 6m euros), Andres Tello (Benevento, 3m euros), Nicola Leali (Perugia, 2m euros), Joel Untersee (Empoli, 500,000 euros), Kwadwo Asamoah (Inter, huru), Gianluigi Buffon (Paris Saint-Germain, huru), Stephan Lichtsteiner (Arsenal, huru), Pol Garcia (Sint-Truidenese), Vlad Marin, Timothy Nocchi, Nazzareno Belfasti, Alberto Gallinetta, Mattia Caldara (Milan), Gonzalo Higuain (Milan).
 
NAPOLI

Kusajiliwa: Fabian Ruiz (Real Betis, 30m euros), Simone Verdi (Bologna, 25m euros), Alex Meret (Udinese, 22m euros), Vinicius Morais (Real SC, 4m euros), Orestis Karnezis (Udinese, 2.5m euros), Amin Younes (Ajax, huru), Amato Ciciretti (Benevento, huru).

Kuondoka: Jorginho (Chelsea, 60m euros), Duvan Zapata (Sampdoria, 17m euros), Jacopo Dezi (Parma, 2m euros), Pepe Reina (AC Milan), Christian Maggio (Benevento), Emanuele Giaccherini (Chievo Verona), Antonio Granata, Rafael, Hrvoje Milic.
 
Dah Barca imemuuza Mina dogo ana kipaji sana yule
 
ROMA

Kusajiliwa: Javier Pastore (Paris Saint-Germain, 24.7m euros), Justin Kluivert (Ajax, 17.25m euros), Gregoire Defrel (Sassuolo, 15m euros), Davide Santon (Inter, 9.5m euros), Patrik Schick (Sampdoria, 9m euros), William Bianda (Lens, 6m euros), Ante Coric (Dinamo Zagreb, 6m euros), Nicolo Zaniolo (Inter, 4.5m euros), Antonio Mirante (Bologna, 4m euros), Daniel Fuzato (Palmeiras, 0.5m euros), Ivan Marcano (Porto, huru), Robin Olsen (Copenhagen, 8.5m euros).

Kuachwa: Radja Nainggolan (Inter, 38m euros), Lukasz Skorupski (Bologna, 9m euros), Juan Iturbe (Tijuana, 5m euros), Marco Tumminello (Atalanta, 5m euros), Ervin Zukanovic (Genoa, 1.2m euros), Jose Machin (Pescara, 0.8m euros), Arturo Calabresi (Bologna,0.2m euros), Nicola Falasco (Avellino, 0.1m euros), Giammario Piscitella (Carpi), Kevin Mendez (Karpaty), Bogdan Lobont, Ismail H'Maidat.
 
INTER MILAN

Kusajiliwa: Radja Nainggolan (Roma, 38m euros), Lautaro Martinez (Racing, 23m euros), Federico Dimarco (FC Sion, 7m euros), Stefan de Vrij (Lazio, huru), Kwadwo Asamoah (Juventus, huru), Sime Vrsaljko (Atletico Madrid, mkopo)

Kuondoka: Geoffrey Kondogbia (Valencia, 25m euros), Davide Santon (Roma, 9.5m euros), Federico Valietti (Genoa, 7.5m euros), Davide Bettella (Atalanta, 7m euros), Eder (JS Suning, 5.7m euros), Jens Odgaard (Sassuolo, 5m euros), Marco Carraro (Atalanta, 5m euros), Nicolo Zaniolo (Roma, 4.5m euros), Yuto Nagatomo (Galatasaray, 2.5m euros), Francesco Bardi (Frosinone, 1m euros), Tommaso Equizi (Levico Terme), Davide Costa (Rieti), Filippo Sgarbi (Perugia), Mattia Bonetto (Reggina), Ze Turbo (Newell's), Gaston Camara , Andrea Romano, Italo, Riccardo Gaiola.
 
LAZIO

Kusajiliwa: Francesco Acerbi (Sassuolo, 10m euros), Valon Berisha (RB Salzburg, 7.5m euros), Riza Durmisi (Real Betis, 6.5m euros), Mattia Sprocati (Salernitana, 2.5m euros), Silvio Proto (Olympiacos, huru).

Kuondoka: Felipe Anderson (West Ham, 38m euros), Federico Marchetti (Genoa, free transfer), Stefan de Vrij (Inter), Francesco Orlando (Salernitana), Filip Djordjevic (Chievo Verona), Franjo Prce (Omonia Nicosia).
 
AC MILAN

Kusajiliwa: Nikola Kalinic (Fiorentina, 20m euros), Fabio Borini (Sunderland, 5.5m euros), Ivan Strinic (Sampdoria, huru), Pepe Reina (Napoli, huru), Alen Halilovic (Hamburg, huru), Gonzalo Higuain (Juventus, mkopo), Mattia Caldara (Juventus, kubadilishana).

Kuondoka: M'Baye Niang (Torino, 12m euros), Gianluca Lapadula (Genoa, 11m euros), Gianmarco Zigoni (Venezia, 0.45m euros), Niccolo Zanellato (Crotone, 0.3m euros), Hachim Mastour , Marco Storari, Nnamdi Oduamadi , Leonardo Bonucci (Juventus, kubadilishana).
 
ATALANTA

Kusajiliwa: Davide Bettella (Inter, 7m euros), Bryan Cristante (Benfica, 5m euros), Marco Tumminello (Roma, 5m euros), Marco Carraro (Inter, 5m euros), Pierluigi Gollini (Aston Villa, 4.3m euros), Arkadiusz Reca (Wisla Plock, 4m euros), Matteo Salvi (Pisa).

Kuondoka: Jasmin Kurtic (SPAL, 4.8m euros), Alberto Paloschi (SPAL, 4m euros), Giuseppe De Luca (Virtus Entella), Michele Messina (Viterbese), Davide Merelli (Padova), Stefano Cason (V.Francavilla), Antonio Palma (Giana Erminio), Akos Kecskes (FC Lugano), Doudou Mangni (Monopoli), Michele Canini.
 
FIORENTINA

Kusajiliwa: German Pezzella (Real Betis, 9m euros), Riccardo Saponara (Empoli, 9m euros), Alban Lafont (Toulouse, 8.5m euros), David Hancko (MSK Zilina, 3.5m euros), Federico Ceccherini (Crotone, 3.5m euros), Cristiano Biraghi (Pescara, 2m euros), Vincent Laurini (Empoli, 1.6m euros), Dusan Vlahovic (Partizan, 1.5m euros).

Kuondoka: Nikola Kalinic (AC Milan, 20m euros), Khouma Babacar (Sassuolo, 9m euros), Bruno Gaspar (Sporting CP, 4.5m euros), Nenad Tomovic (Chievo, 2.5m euros), Ante Rebic (Eintracht Frankfurt, 2m euros), Edoardo Sarri (Pontedera), Marco Berardi (Sudtirol), Milan Badelj.
 
TORINO

Kusajiliwa: Soualiho Meite (Monaco,12m euros), M'Baye Niang (AC Milan, 12m euros), Armando Izzo (Genoa, 8m euros), Tomas Rincon (Juventus, 6m euros), Bremer (Atletico Mineiro, 5.8m euros), Nicolas N'Koulou (Lyon, 3.5m euros), Erick Ferigra (Fiorentina, 0.15m euros), Antonio Rosati (Perugia, huru).

Kuondoka: Antonio Barreca (Monaco, 12m euros), Alfred Gomis (SPAL, 1.5m euros), Alessio Benedetti (Pontedera), Cristian Molinaro (Frosinone), Federico Zenuni (Teramo), Ador Gjuci, Giovanni Graziano, Matteo Tobaldo, Abou Diop, Nicolas Burdisso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…