Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Habari ya Jumapili wakuu. Ni kwa neema na makusudi ya Mungu baba kutufanya tukutane tena, tuombe akatufanye ndugu tena na kutuondolea tofauti zilizo kuwepo au kama zitajitokeza, upendo ukatawale na makwazo yakashindwe kwa jina la baba aliye, Mungu pekee. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…