The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,578
- 17,013
Naona nawe umesahauKaka hali tete
Powaaa za j2?bbade mambo vp
AMENHabari ya Jumapili wakuu. Ni kwa neema na makusudi ya Mungu baba kutufanya tukutane tena, tuombe akatufanye ndugu tena na kutuondolea tofauti zilizo kuwepo au kama zitajitokeza, upendo ukatawale na makwazo yakashindwe kwa jina la baba aliye, Mungu pekee. Amen
Wambie kabisaSawa mkuu
Agano jipyaLeo ni dominica ya 13 ya Mwaka.Injili imetoka kwenye Mathew 10:37-42.
Me ntatoka salama kabisa...Nitakimbiaje huku maadui zangu wapo humu siwezi kuwaacha humu carbamazepine na sammyluv maana hamtatoka salama
Asante sana. ...naona umedukua kwenye Misale. ....ubarikiweLeo ni dominica ya 13 ya Mwaka.Injili imetoka kwenye Mathew 10:37-42.
Mkuu hujarogwa pambana tu.Na gundu gani mm au machizi mmeniroga