[emoji23][emoji23][emoji23]Zama zmebadirika sana aisee,, siku wanaume ndio wanao ona aibu na sio mabinti tenaHizo enzi acha kabisa,siku hizi watu wanatoa macho hatar na kutongoza tunatongoza hakuna aibu[emoji23][emoji23][emoji23]
Juu pima chini kadilia hahahaKitambaa mita nne kinaishia kwenye suruali haea wanaume/wavualana wa siku hizi suruali kama hiyo wanatoa hata suruali nne
Hahaha Hajji Manara mjinga sana,, dawa ilikuwa Jerry Mullo,, pale alikuwa hatiii neno
Kijita = Muongelemo bhwa kisiView attachment 837802
Kisukuma = Dubulalile/Bujiku ng'waka
Kizaramo =
Kikerewe =
Kinyakyusa =
Kijita =
Kihehe =
Kihaya =
Kichaga =
Kipare =
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] enzi hzo bro,, hakukuwa cha mzaramo wala msukumaIlibakia kidogo tu tuwapachike Usukuma hawa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio mkuu,, pozi matata sana hilistudio hapo...
Aisee!Twaweza bhana[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 837795
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kumbukumbu nzuri. wapi wanayanga?Siku Yanga ilipofungwa 6-0 na Simba,, Kibaden akifunga hat trickView attachment 837755
Jirani mpenzi, habari yakoNawasalim ktk Bwana.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji120][emoji120]Mungu atupe jioni njema