Amina [emoji4] [emoji4]Marahabaaaa !!!
Huku kwema...
This gonna be a good day...
Tubarikiwe [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
WWE UNIVERSAL CHAMPIONView attachment 838783
Asee, stori inasisimua sanaView attachment 838883
Huyo Binti Baba yake mzazi alihukumiwa kifo kwa kutokula chakula hadi afe... Binti yake tu aliruhusiwa kumtembelea babake. Kutokana kwamba alikua ananyonyesha, alikuwa kumbe pia akienda kumuangalia babake kila siku alikua anamnyonyesha ziwa ili apate kuishi.. Watawala wakashangaa mbona huyu Mzee yuko hivyo hivyo amedhoofu tu lakini anaishi.. Huyu binti yake hupekuliwa kila siku na habebi bakuli wala kitu chochote!Wakamfuatilia na wakaja kugundua anamnyonyesha ziwa babake! Akashtakiwa kwa Hakimu kuhusu kosa hilo... Adhabu yake ingekuwa ni kifo!! Lakini Hakimu alibatilisha hukumu na kumwachia huru binti pamoja na Baba yake akisema: Upendo Wako kwa Baba yako haujapata kutokea... Nenda mtunze Baba yako...
Mbona sikuoni?Poa poa, dakka 0 nazuka hapo.
Hahahahaha! Nipe nusu saaMbona sikuoni?
CCM Vs CHADEMA. Kwenye minofu hakuna kuaminiana. Shwaiiiniii [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Hahahahaha! Nipe nusu saa
watu wapo vizuri kwenye kusaka "wife"[emoji3] [emoji3] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 838885
watu wapo vizuri kwenye kutafuta "wife"[emoji3] [emoji3] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 838885
Anawacheka Madrid wanavyotandikwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23]Anawacheka Madrid wanavyotandikwa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]