Niliishia tu kusikia list ya majina ya wababa walioshutumiwa kuwatelekeza watoto wao...Hivi hili zoezi liliishiaje kwa makonda?
Niliishia tu kusikia list ya majina ya wababa walioshutumiwa kuwatelekeza watoto wao...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ili mradi tu wasikike wapo.Kiki nyingine bhana,nimeiahia kukumbuka ishu ya madawa ya kulevya
Nipo nafanya hvyo kila siku,, hope Mungu atanifanyia wepesiMshirikishe Mungu kwenye hitaji lako la ndoa ili umpate mke wa kufanana nawe.
Mkuu huyo kwenye avatar ni wewe ?[emoji124][emoji124]View attachment 839266