Hahahahah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio ulaji wake ule na wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
Aysee nimekuelewaHii ni aina nyingine ya kuitangaza biashara yako...
By the way, ma superstar wapo na huo mtandao wanautumia......
Nakushauri uwe mpole soon utawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! HapanaHahahaha
Mi sifahamu aisee,, hahaha unakoelekea utauliza na nyama ya panya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ebu pitia threads za huyu mtu.... then najua utapata la kujifunza kumuhusu
Khaahawatumii mtandao gani 0713 au??
kuna watu ndo mishe zao humu Dada watakuharibu
Ngoja nikapekenyueMkuu, ebu pitia threads za huyu mtu.... then najua utapata la kujifunza kumuhusu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]FJ? Facebook Jamii au!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuuhhhKama utakubaliana na masharti yanayoambatana na ulaji wa huyo samaki, ruksa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Hahahaha,, Ni Wanyiramba sio Wanyaturu,, huwa wanahusishwa kula punda na panya,,, lkn ilikuwa miaka ya nyuma sidhani hadi muda huu bado wanakula pundaHahahahaha! Hapana
Nilisikia watu wa Singida wanatumia...Au Nyaturu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa majibu mazuri..Nimeridhika nayo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hahahaha,, Ni Wanyiramba sio Wanyaturu,, huwa wanahusishwa kula punda na panya,,, lkn ilikuwa miaka ya nyuma sidhani hadi muda huu bado wanakula punda
Ila punda wa singida wasafi sana,, na wala hawafanyishwi kazi ngumu km wa mikoa mingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa Pyaar.Asante kwa majibu mazuri..Nimeridhika nayo[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app