Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tttshaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huo uhuru ungeutupiamo kwangu saa hizi ningekuwa nimefika Kitonga tena kwa mguu...
Yaani apunyue punyueeeee... Asugue sugue hadi zinyonyoke "utaotesha" zingine... Jamaniiii "my god ai fogivu yuu" Mungu nisamehe, nipe nafasi ya upendeleo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mcheza tenisi mahiri wa Marekani, Serena Williams, ndiye mwanamichezo anayeingiza fedha nyingi zaidi kwa wanamichezo wa kike duniani.

Kwa upande wa wanaume licha ya kustaafu ngumi, bondia Floyd Mayweather bado anaongoza kwa mapato akifuatiwa na Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

Mchezaji huyo namba moja wa zamani kwa ubora wa tenisi duniani, alipata wastani wa Dola 5.5 milioni, huku Dola 62,000 sawa na Pauni 48,050, zikiwa ni zawadi kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza Olympia na kufikisha chumo la Dola 18.1 milioni.
 
Katika orodha iliyotolewa na Jariba la Forbes la Marakeni, Serena mshindi wa mataji 23 ya Grand Slam, aliongoza wachezaji wanane wanawake kutawala kwa mapato ndani ya kumi bora, wawili pekee wakiwa wa michezo mingine.

Kwa mujibu wa Forbes Serena tangu kurejea dimbani baada ya mapumziko ya uzazi tayari amejikusanyia kiasi cha dola 62,000 na amezitumia kiasi kidogo kumnunulia mwanae vitu mbali mbali zikiwemo nguo, vitu vya kuchezea na mahitaji mengine muhimu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooooiiiiiii
Kitu nginja nginja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weraaaweeeraaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…