Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bahati ya mwenzio....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Zaidi ya mkasi imebidi niongezee na tuvifaa twingine twa ukinyozi. Niko vizuri kwa kweli. Mfumuliwaji wa Kijita...hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yegomasika baba mjengo kaja huku
Twende tukamalizie "homuweki" [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Shwaini zenuuu... Mara ooo samaki, sijui tikiti la idi, ghafla imekuwa Magharibi kumbe mna mambo yenu...
Kulavuana tu mnakosa hata muda wa kusoma.
Hebu rudini ndani mkaendelee na homweki... Idioti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Shwaini zenuuu... Mara ooo samaki, sijui tikiti la idi, ghafla imekuwa Magharibi kumbe mna mambo yenu...
Kulavuana tu mnakosa hata muda wa kusoma.
Hebu rudini ndani mkaendelee na homweki... Idioti [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyakyusa kutupiamo kakilengesa ni ujanja,kama nimechapia usijali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitapukunyua tu nikiruhusiwa... Hii mashine ni XX power
 
Mizimu tena. Unajua hata matumizi yake shemeji? Subiri mwenyewe aje nikusemee ndo tutaona kama busara zako zile zilizotuokoa kipindi kile kutoka kwenye iginoa listi kama zitakutoa na wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya niikumbuke hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…