[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], alishindwa kufuzu.Lile darasa umesahau?[emoji23][emoji23]
Safi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemfundisha hadi style ya kupiga ngwala kama domo zito, lakini wapi. Amebaki na mbinu ya kuhonga dompo, maua na mijisamaki mikuubwa kuliko mwili wake... Nshajichokea mimi...
Sawa, anashindwa hata ya kusema "Carba nina hamu ya kukurenga " kweli????
Hahahaa...Dogo tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa kumbe ulikua unamuongelea huyu dogo
Game ipi?Kipindi cha kwanza kimeisha 2-0
19 : 1818:51
19:19 [emoji23][emoji23]
19:20